











Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Abayt(as)-ABNA-Jamuhuri ya Kiislamu ya Iran kujianda na uchaguzi wa wakilishi wa Wabunge siku ya Ijumaa tarehe 2 March 2012,huku wakazi wa Mji wa Qom watashirikiana na Wairani wenzao mnamo siku hiyo kwa kishindo ili kuonyesha Ulimwengu na Maadui wa Irani kuwa Wairani wapo pamoja na wapo tayari kuendeleza Nchi yao.











